Kiungo wa Barcelona kuhamia Evertoni jumla

Klabu ya Everton imekubali kutoa kitita cha £22m kwa Barcelona kwaajili ya kumsajili Andre Gomes.

Mchezaji huyo ambaye alikua akikipiga kwenye klabu hiyo ya Uingereza kwa mkopo anatarajia kukamilisha usajili ndani ya masaa 24 yajayo.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia