Mourinho akimbila timu za Taifa kufundisha

Jose Mourinho amesema yupo tayari kurudi kwenye majukumu yake ua ukocha lakini iwe timu ya Taifa na si klabu.

Mreno huyo ambaye alikua nje ya kazi ya ukocha tangia atimuliwe kwenye klabu ya Manchester United baada ya kuifanya timu hiyo kuwa na mwanzo mbovu.

Wakati akiuulizwa kuhusu mpango wake unaofuata, Mourinho alisema anakaribisha nafasi ya kufundisha timu ya Taifa na lazima iwe Ureno.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia