Klabu ya KMC yazidi kujiimarisha

Klabu ya KMC imewaongezea mikataba wachezaji wake watatu Ally Ramadhan, Abdul Hillary na Omary Ramadhan na kila mmoja amesaini mkataba wa miaka mitatu hadi mwaka 2022.