.

6/14/2019

KMC yamsainisha mchezaji huyu

Kiungo mshambuliaji wa KMC Hassan Kabunda amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kuitumikia timu hiyo ya Manispaa ya Kinondoni hadi mwaka 2022.