Meddie Kagere aongeza mkataba Simba SC


Mchezaji Bora na Mfungaji Bora wa mwaka Meddie Kagere ataendelea kuitumikia Simba SC kwa  misimu miwili ijayo.