Prof. Kabudi afanya mazungumzo na Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amekufanya mazungumzo na Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait anayeshughulikia masuala ya Afrika, Balozi Hamad Suliman Al - Mashaan katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje Dar jana.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items