Makocha wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 20 akiwemo Meja Mstaafu Abdul Mingange wa Azam FC na Said Maulid maarufu kama SMG wa Yanga, wamefunguka kuhusu mchezo wao wa nusu fainali ya vijana ambao utapigwa Jumatano hii kwenye uwanja wa Aazam Complex, Chamanzi majira ya saa 10 jioni.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
