VIDEO: Kocha wa Simba na Mtibwa Sugar watambiana mechi ya nusu fainali U20


Baada ya kutinga hatua ya nusu fainali, kocha wa Simba Niko Kiondo na mwenzake wa Mtibwa Sugar, Vicent Barnabas wametambiana kuelerkea mchezo huo ambao utapigwa Jumatano hii majira ya saa 1 jioni katika uwanja wa Azam Complex, Chamanzi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items