F VIDEO: Aliyekuwa mwenyekiti wa Yanga atema ubuyu kuhusu usajili | Muungwana BLOG

VIDEO: Aliyekuwa mwenyekiti wa Yanga atema ubuyu kuhusu usajili


Aliyekuwa kaimu mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga, Samuel Lukumai, amefunguka kuhusu usajili ambao wameufanya na kumzungumzia Juma Balinyi ambaye wamemsajili kutoka Uganda akiwa kama mfungaji bora wa ligi ya huko msimu uliopita.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHU KUSUBSCRIBE