Loading...

6/14/2019

VIDEO: Beno Kakolanya atua Simba, amwagiwa fedha za miaka mwili


Aliyekuwa kipa wa Yanga, Beno Kakolanya ametangazwa rasmi kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2018/19 Simba SC.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Loading...