VIDEO: Jerry Muro - tumewabadilisha askari 12, hawatekelezi waji wao


Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha Jerry Murro amewahakikishia wafanyabiashara usalama wao na kufanya kazi zao kwa amani bila kubughudhiwa na Mtu yeyote yule na tayari askari 12 wamebadilishwa kutokana na kutotekeleza wajibu wao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE