VIDEO: Mhubiri wa kimataifa Moses Magembe awanya wananchi


Muhubiri wa Kimataifa Moses Magembe amewaomba Viongozi na Wananchi kuendelea kuitunza heshema ya Tanzania ambayo imeenea ulimwenguni kote, akiwa katika ibada ya kuliombea Taifa mkoani Tabora, hatahivyo  Mkuu wa wilaya ya Tabora Komanya Erick  ameomba  wanachi

kulingana na imani yake kuendelea kumwombea Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Serikali yake katika kupigania haki za wa Tanzania

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items