VIDEO: Usajili wa beki Kennedy wazua kizaazaa Simba, Manara atoa povu zito kwa mashabiki


Baadhi ya mashabikiwa klabu ya soka ya Simba wameonyesha kutofurahishwa na usajili mpya wa beki Keneddy Wilson Juma kutoka Singida United. Msemaji wa Simba Haji Manara ameshindwa kuvumilia maneno hayo ya mashabiki wao na kuamua kuwatolea povu zito.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items