F VIDEO: RASMI: Ajib atemwa Yanga, Mwakalebela afungka A-Z | Muungwana BLOG

VIDEO: RASMI: Ajib atemwa Yanga, Mwakalebela afungka A-Z


Makamu mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, amefunguka kuhusu usajili wa timu yao. Pia ametangaza kuwa mchezaji wao Ibrahim Ajib yupo huru kwenda timu yoyote.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE