Loading...

6/13/2019

VIDEO: Simba kucheza na mabingwa hawa kwenye "Simba Day"


Klabu ya soka ya Simba imezoeleka kuwa na sherehe yao kubwa kila mwaka ambayo hufanyika August 8 huku pia wakitumia nafasi hiyo kucheza mchezo wa kirafiki na moja ya timu waliyoialika na kutangaza wachezaji wao kwenye siku hiyo. Afisa Mtendaji Mkuu waSimba SC, Crescentius Magori, amefunguka kuhusu tukio hilo kwa mwaka huu na timu ambayo wamepanga kucheza nayo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Loading...