
Hivi karibuni limeibuka sakata la nahodha waSimba, John Bocco kudaiwa kusaini mkataba na Porokwane ya Afrika Kusini wakati huo huo akiongeza mkataba wa kuichezea Simba kwa msimu ujao. Mtendaji wa Simba Crescintius Magori amefunguka suala hilo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE