Leo Juni 25 Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani ambaye pia ni Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, amemuomba Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutoa tamko la kukemea kauli iliyotolewa na Mbunge wa jimbo la Starehe Kenya, Jaguar, la kuwataka watanzania wanaofanya biashara nchini Kenya kuondoka haraka la sivyo watawapiga mawe.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
