VIDEO: Waziri Mwakyembe amkabidhi RC Makonda cheti cha heshima


Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Sanaa, Harrison Mwakyembe, amemkabidhi cheti cha heshima Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kutambua mchango wake kama mwenyekiti wa kamati ya hamasa kwa Taifa Stars.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE