Wasaini makubaliiano ukusanyaji wa maduhuli ya Tsh. Bilioni 475


Wizara ya Madini na Wizara ya Fedha na Mipango zimesaini makubaliano ya mkakati wa ukusanyaji wa maduhuli kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya Tsh. Bilioni 475.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Simon Msanjila ndiye amesaini makubaliano ya mkakati wa ukusanyaji wa maduhuli kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kati ya  Wizara ya Madini na Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dodoma hapo jana.
Katibu Mkuu Wizara ya Madini,Simon Msanjila(kushoto)na  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,Doto James wakibadilishana nyaraka baada ya utiaji saini wa makubaliano ya mkakati wa ukusanyaji wa maduhuli kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kati ya Wizara ya Madini na Wizara ya Fedha
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia