VIDEO: Waziri Mwakyembe afunguka kuhusu Taifa Stars/ Aweka mpango wa kutikisa AFCON


Katika kuhakikisha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inafanya vizuri katika mashindano ya AFCON 2019 huko nchini Misri, waziri wa Habari, Utamadunmi, Michezo na Sanaa, Harrison Mwakyembe ametangaza kwa watanzania wote kuweza kuichangia fedha timu hiyo ili wachezaji wapate wapate moyo zaidi na nguvu ya kufanya vizuri kwenye michuano hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE