Hawa hapa wanafunzi walifanya vizuri matokeo ya kidato cha sita 2019


Na. Thabit Hamidu, Zanzibar

Ni Muda mchache tu Tangu baraza la Mitihani la Taifa Nacta kutangaza Matokeo ya kidato cha Sita ambapo imeelezwa kuwa ufaulu umeonekana kupanda kutoka asilimia 97.58 mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 98.32 mwaka 2019 ikiwa ni sawa na asilimia 0.74

 Hawa hapa watahiniwa kumi 10 Bora kitaifa kwa masomo ya Sayansi;

1.    Faith Nicholous Matee,  ST.Marry Mazinde Juu ,Tanga, PCB

2.    Herman Pauline Kamugisha, Kimiri, Arusha, PCM

3.    Levina Calist Chami, ST.Marry GORETI,Kilimanjaro PCM

4.    Benius Eustace,Mzumbe, Morogoro, PCB

5.    Augostino Issaya Omari,Ilboru,Arusha,PCB

6.    Satrumin Arbogast Shirima,Temeke,Dar Es Salaam PCB

7.    Khalid Hussein Abdallah, Feza Boys Dar ES Salaam PCM

8.    Assad Y Msangi, Feza Boys Dar es Salaam PCM

9.    Peter Jovenal Riima, Kibaha,Pwani,PCM

10.   Augustine J Kamba Feza Boys, Dar ES Salaam PCM.

Wanafunzi 10 bora waliofanya vizuri kwa masomo ya lugha na Sanaa

1.   Victor G  Mtui Feza Boy’s  Dar ES Salaamu  EGM

2.    Paula Nelson Lujwangana,ST Marry Mazinde Juu,Tanga,HKL

3.    Blandina Kessy Nyage ST Marry’s  Mazinde Juu, Tanga, HGL

4.    Eva J Shitindi Machame Girls ,Kilimanjaro,HKL

5.    Ruhinda Benedicto Machimu,Geita Adventist, Geita,HKL

6.    Anita Zacharia Massawe,ST Marry Mazinde Juu,Tanga,HKL

7.    Karimu Kassimu Muhibu,Nyangao,Lindi,HKL

8.    Anold Andrea MsuyA, Dereda,Manyara,HKL

9.    Latifa Mohamed Mrosso,Ahmes, Pwani,HKL

10. Eliibariki Desidery Baliyanga, Lukole, Kagera, HKL


Waliofanya vizuri kitaifa kwa masomo ya biashara

1.    Astone Stevin Ngaeje, Kibaha,Pwani,ECA

2.    Gift M Mwakikusi, Tussime, Dar ES Salaam, ECA

3.    Emmanuel P Chila, Alpha, Dar ES Salaam ECA

4.    Athumani Magadula William,Umbwe, Kilimanjaro,ECA

5.    Stephano Y Dsimas,Kibaha,Pwani,ECA

6.    Robert John Tano Scolastika, Kilimanjaro,ECA

7.    Shabani H Shabani,Kibaha Pwani, ECA

8.    Dotee A Zuberi,Galonos,Tanga,ECA

9.    Ernest P Game, Kibaha, Pwani, ECA

10. Deogratias Ladislaus  Msilinga,Kibaha, Pwani,ECA.