Msaidizi Injinia wa Meli ya MV Mapinduzi ajinyonga


Na Thabit Hamidu, Zanzibar

Msaidizi Injinia Meli ya MV mapinduzi, Haji Abdallah  amejinyonga wakati meli hio ikielekea Pemba leo muda huu.

Imegeuza na kurudi Unguja muda si mrefu itafika Unguja.

Kwa habari zaidi endelea kuwa nasi Muungwana Blog...