Msanii Nicki Minaj aweka rekodi YouTube, awafunika Rihanna na Beyoncé


Msanii wa muziki nchini Marekani, Nicki Minaj ndio Malkia wa YouTube, anaongoza kwa wasanii wa kike wenye video nyingi zilizozidi Idadi ya (views) watazamaji Millioni 100

Nicki Minaj ana Video 49 ambazo zote zina idadi zaidi ya Millioni 100 kwenye mtandao wa YouTube, Anafuatiwa na Rihanna (46), Marília Mendonça (36), Beyoncé, Shakira na Taylor Swift (33), Selena Gomez (31) na Ariana Grande (29).