Loading...

Jul 17, 2019

Naibu Waziri Shonza awataka wasanii kuacha kuiga, awataja Diamond na Alikiba


Naibu waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Juliana Shonza amewataka wasanii nchini kutumia vizuri vipaji walivyonavyo ili kuondokana na Umaskini.

Akizungumza baada ya kufungua kongamano la wanawake na Vijana linalosimamiwa na mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara Ester Mahawe, Shonza amewaambia vijana wenye vipaji vya kuimba kuwa wabunifu katika sanaa na sio kuiga mtindo wa wasanii wengine akimtolea mfano Ali kiba na Diamond.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger