Loading...

7/11/2019

Qatar: Ndege mbili zagongana

Ndege mbili za mafunzo zimegongana huko Qatar.

Taarifa katika ukurasa rasmi wa Twitter wa Wizara ya Ulinzi imesema kuwa ndege hizo mbili zimegongana wakati wa mafunzo nchini humo.

Marubani waliweza kujiokoa kutokana na viti vya kupaa vya marubani.
Loading...