Tetesi: Harry Maguire kufanyiwa vipimo vya afya hapo kesho na Man United


Taarifa zilizoenea katika majarida mbalimbali Uingereza zinaeleza kuwa huenda siku ya kesho Harry Maguire akafanyiwa vipimo vya afya kujiunga na mashetani wekundu. Inaelezwa kwamba klabu ya Leicester City imekubali ofa ya £80m. :

Wakati huo huo, klabu ya Napoli imethibitisha kumnasa Kostas Manolas kutoka AS Roma. Man United hapo awali ilisadikika kutaka huduma yake.