Ukweli kuhusu kocha Amunike kutimuliwa Taifa Stars


Mapema leo kuliripotiwa kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Emmanuel Amunike amejihudhulu nafadi yake ya ukocha baada ya kufanya vibaya katika mashindano ya Afcon.

Hata hivyo taarifa za sasa zinasema kuwa Emmanuel Amunike bado ni kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa mujibu wa taarifa iliyothibitishwa na Ami Ninje.

Kiongoziu huyo ameeleza kushangazwa na taarifa za uzushi zinazoenea kwenye mitandao kuwa kocha huyo amejiuzulu baada ya Stars kufanya vibaya kwenye michuano ya AFCON 2019.