Loading...

7/14/2019

Ukweli kuhusu kuwepo dawa mpya ya asili inayotibu Saratani ya Tezi Dume


Kufuatia kusambaa kwa taarifa juu ya uwepo wa dawa mpya ya asili inayotibu Saratani ya Tezi Dume, Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) imekanusha taarifa hiyo, ikisema kwamba dawa ya asili iliyogunduliwa imeonyesha dalili za kupunguza uvimbe kwa wagonjwa.

Loading...