VIDEO: Inasikitisha!! Mama amtafuna mwanae


Tukio hilo limetokea mtaa wa Negamsi kata ya Bagara Babati mjini mkoa wa Manyara ambapo mama huyo aitwaye Paskalina Daniel (36) mkulima,alimshambulia mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka tisa (9) mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Kwaang  kwa kumng’ata sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia majeraha.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE