VIDEO: Nabii Mashimo ajibiwa kwa hoja


Mchungaji wa Kanisa la TAG Joshua Chenge amemchana ukweli Nabii Komando Mashimo kwa kile anachokifanya kuwa maandiko hayaelezi hivyo na arejee asome vizuri  maelekezo ya manabii na wachungaji kabla ya kufanya anachofanya kwasasa.

Leoa kuna video fupi ambayo inamuonyesha komando Mashimo kutangaza mkesha wa kumuombea Musiba ambaye ni mwanaharakati wa Kutetea Serikali ya awamu ya Tano

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE