Loading...

7/20/2019

VIDEO: Wazee CCM wakutana Dar, watoa tamko kuhusu Rais Magufuli


Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam leo julai 20 wametoa tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kupambana ili kuleta maendeleo nchini hivyo anapaswa kuendelea kuombewa ili atimize kile wanachokitaka Watanzania.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Loading...