VIDEO: "Wamemtuma Professa aiambie serikali wao sio magaidi, wao ni raia" - Katibu mkuu CUF


Katibu mkuu wa chama cha CUF, Khalifa Suleiman amefunguka jinsi alivyofurahishwa na wananchi wa Kibiti kwa kusema ukweli yale ambayo yapo kwenye mioyo yao kuhusu serikali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE