Nyumbani Huyu ndio beki bora wa msimu barani Ulaya byMuungwana Blog 2 -8/29/2019 09:00:00 PM 0 Beki wa klabu ya Liverpool Virgil van Dijk amefanikiwa kunyakua Tuzo ya beki bora wa msimu barani Ulaya. Virgil van Dijk alikuwa na msimu mzuri zaidi na kuweza kuisaidia klabu yake kunyakuwa Ubingwa wa Klabu Bingwa Ulaya. Facebook Twitter