Nyumbani Messi apewa Tuzo ya mshambuliaji bora wa msimu barani Ulaya byMuungwana Blog 2 -8/29/2019 09:00:00 PM 0 Tuzo ya mshambuliaji bora wa msimu barani Ulaya imekwenda kwa Lionel Messi kutoka FC Barcelona. Messi amekabidhiwa tuzo hiyo leo ambapo zoezi hilo liliambatana na upangaji wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Facebook Twitter