Kiungo wa klabu ya Arsenal Mohamed Elneny yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Besiktas kwaajili ya kuamia klabu hiyo kwa mkopo wa msimu mzima.
Wiki iliyopita kocha wa klabu ya Arsenal Unai Emery alimwambia kiungo huyo kuwa inabidi aondoke kabla dirisha halijafungwa ili aweze kupata timu ya kucheza.