Kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Burundi chatangazwa

Kaimu Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Ndairagije Etienne, ametaja Kikosi cha Wachezaji 30 watakaoingia Kambini kujiandaa na mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza Kombe la Dunia dhidi ya Burundi.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items