Loading...

8/16/2019

LIVE: Ziara ya Rais wa Afrika Kusini Chuo cha Solomon Mahlangu Morogoro


Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini,Cyril Ramaphosa yupo nchini kwa siku 2 kabla ya kuanza Mkutano wa SADC kwa mwaliko wa mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli.

Loading...