Picha: Dkt. Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati
byMuungwana Blog 5-
0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo