Picha: Simba SC walivyoondoka kuwafuata UD do Songo
byMuungwana Blog 3-
0
Kikosi cha Simba SC kimefika kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) tayari kwa safari ya kwenda Msumbiji ambako kitacheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa ya Afrika dhidi ya klabu ya UD do Songo.