PICHA: Wildaf wafanya mdahalo wa Mwanamke na Uongozi, CCM, Chadema, CUF na ACT watinga


Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Wildaf imeendesha mdahalo Ijumaa hii unaohusu nafasi ya wanawake na uongozi.

Mdahalo huo umefanyika katika hotel ya Seeshells Kijitonyama, jijini Dar es Salaam na kuwaalika baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa akiwemo Humphrey Polepole (CCM), Mohammed Ngulangwa (CUF), John Mrema (Chadema) na Kuruthumu (ACT-Wazalendo).

Katika mdahalo huo mwanasheria Clarence Kipobota ametoa utafiti wa namba kuonyesha jinsi idadi ya wanawake ambao ni viongozi hapa nchini huku katika eneo la uongozi huko chini ikiwemo serikali ya mtaa ikionyesha wanawake wameshindwa kupewa nafasi hiyo ya kuongoza.











Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items