Loading...

8/18/2019

Press ya Manara yazuiliwa na Boss wake

Press ya Haji Manara iliyokuwa ifanyike kesho imezuiliwa na Boss wake kwa mujibu wa taarifa aliyoiweka kwenye mtandao wake wa Instagram.

Manara aliandika haya kwenye ukurasa wake huo,

Boss wangu amezuia press yangu ya kesho na huyu ni mtu namheshimu sana ,niwahakikishie ntaendelea kufanya kazi ktk Club hii ninayoishabikia sana

Sote sisi interest yetu ni Simba,hakuna kurudi nyuma hadi Wanasimba tutimize malengo yetu!!
Vita yetu sasa tuhamishie kwa Wabangu bangu.. Na tutawaambia kwa sauti kubwa.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger