Rais Magufuli afanya mazungumzo na Rais wa Afrika Kusini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli afanya mazungumzo na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.