Rais wa zamani wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 8 na ushei jela kwa makosa ya rushwa na utakatishaji fedha, kubadilishwa gereza kutoka lile alilokuwemo kupelekwa gereza la Sao Paulo.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchi hio mahakama imeamu kumuhamisha Lula (73) anayetumikia adhabu katika gereza la Cortiba katika sello ya peke yake, kumpeleke katika gereza la wafungwa 408 wa hadhi za juu liitwalo gereza la Tremembe.