F Simba yaiadhibu JKT Tanzania, Kagere aanza na mbili | Muungwana BLOG
https://c2p.cleverwebserver.com/dashboard/6a0bec4b-79ba-11ef-ad2b-06f0639468d1

Simba yaiadhibu JKT Tanzania, Kagere aanza na mbili

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwa mchezo kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC, na haya ndio matokeo ya mchezo huo.

FT: JKT Tanzania 1-3 Simba SC