VIDEO: Tazama magoli yote JKT Tanzania (1-3) Simba SC, Kagere ni moto


Klabu ya soka ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-1 kwenye mechi yao ya kwanza ya ligi  kuu msimu wa 2019/20 dhidi ya JKT Tanzania. Magoli ya Simba yamefungwa na Meddie Kagere (Amefunga magoli mwawili) na Miraji Omary.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi