VIDEO: Kocha wa Simba atamba baada ya ushindi/ Afunguka chozi lilivyomtoka mechi ya UD Songo


Kocha wa klabu ya soka ya Simba SC Patrick Aussems amefunguka mbele ya waandishi wa habari baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Pia kocha huyo amekumbushi jinsi machozi yalivyomtoka mechi ya UD Songo baada ya kutolewa kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi