VIDEO: Kocha wa JKT Tanzania aukubali mziki wa Simba/ "Hatukuwa dhaifu"


Kocha wa JKT Tanzania Abdallah Mohammed maarufu kama Bares, ameonekana kukikubali kikosi cha Simba baada ya kufungwa mabao 3-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi