TANZIA: Katibu BAWACHA afariki dunia


Katibu wa BAWACHA Jimbo la Kawe, Maura Lang amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ajali.