Loading...

8/16/2019

TANZIA: Msanii wa Bongo fleva afariki dunia


Msanii wa muziki kati ya wasanii watatu wanaounda kundi la muziki la ‘The Mafik’, Mbalamwezi amefariki Dunia kutokana na majeraha ambayo yanahisiwa kuwa amepigwa.

Kwa mujibu wa taarifa.Uchunguzi zaidi unaendelea kuhusu kifo chake

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Muungwana Blog.

Loading...