VIDEO: Abbas Pira mechi za CAF: Simba ana nafasi/ Yanga kazi ipo, Dismas Ten wanamuonea/ Azam na KMC watafuzu


Mchambuzi mahiri hapa nchini Abbas Pira amefunguka kuhusu mechi za marudiano za klabu bingwa Afrika ambazo Simba na Yanga wanashiriki na nafasi zao katika hatua hiyo. Pia mchambuzi huyo amezungumzia michezo ya kombe la shirikisho kuhusu nafasi ya Azam na KMC.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE